Msanii Darasa alipoulizwa juu ya kuwa kama yupo kwenye mahusiano na mwanamke huyo kama tetesi zisemavyo ndipo alipo kanusha na kusema "Mimi nina mpenzi wangu na ninaishi peke yangu nyumbani, Sina mahusiano na mwanadada huyo zaidi ya kufanya naye kazi tu"
Sign up here with your email