RAPA WA KIKE TANZANIA ASEMA ANA MPENZI SIKU NYINGI. - Rhevan Media

RAPA WA KIKE TANZANIA ASEMA ANA MPENZI SIKU NYINGI.


Sorry Guys!! rapa Chemical tayari anaye ‘Mahabuba wake’.
Tumezoea kusikia na kuona kwa rappers wengi wa kike Bongo kuwa na lifestyle za kiume, hili linaweza kuwa tofauti kwa Hit maker wa ‘Sielewi’ Chemical.
Mbali na kuwa mrembo anaenyuka pamba na haiba za Kike, nathubutu kuseama kwamba Chemical ndio rapa pekee wa kike Tanzania, kumsikia anakiri adharani kuwa yupo kwenye mahusiano ya Kimapenz.Kwa sasa ana miaka 21 Chemical, na ameingia kwenye mahusiano akiwa na miaka 19.
Previous
Next Post »