
Kuiba Waume za watu sijazoea! Je kuna mtu kaibiwa???
Baada ya star huyo wa nyimbo ya malele na nyang'anyang'a kuanika picha akiwa na serengeti boy akiuliza kama ni mme wa mtu inaaminika ndiye mpenzi wake kwa sasa.Hii ni baada ya x-wake Nuh Mziwanda kutupia picha za kutosha akiwa na mpenzi wake.
Sign up here with your email