MTANDAO WA SIMU KUTUMBULIWA JIPU. - Rhevan Media

MTANDAO WA SIMU KUTUMBULIWA JIPU.


Serikali itaichukulia hatua kampuni ya Halotel, ikishindwa kusambaza huduma ya simu na mtandao katika ofisi zote za Serikali nchini. Makubaliano kati ya Serikali na Halotel ni kuunganisha ofisi za Umma kwa mtandao zikiwemo shule tatu katika kila Wilaya, Hospitali, Mahakama na Ofisi za Polisi
Previous
Next Post »