MREMBO STAR WA BIG BROTHER AFRIKA AJINUNULIA GARI. - Rhevan Media

MREMBO STAR WA BIG BROTHER AFRIKA AJINUNULIA GARI.

LEFT: Kenyan socialite Huddah Monroe. RIGHT: Her customised Range Rover SUV.
Mwanadada mrembo Huddah Monroe amejinunulia range rover gari yenye thamani kubwa hivi sasa.Huddah ame wapa moyo wadada wengine wanaweza kumiliki vitu zaidi ya hivyo kwa kuwa  yeye alikuwa akishindia na kulalia uji wa mahindi.
Previous
Next Post »