
Kamati kuu ya CCM, yateua wagombea wa kujaza nafasi mbalimbali zilizo wazi za uongozi ndani ya CCM mikoani na wilayani nchi nzima.
Nafasi hizi wazi zimetokana na sababu mbalimbali zikiwemo vifo na baadhi ya viongozi kukihama Chama na kujiunga na vyama vingine.
Sign up here with your email