MZIKI WA BONGO FLEVA KICHOMI KITUPU. - Rhevan Media

MZIKI WA BONGO FLEVA KICHOMI KITUPU.



Patcho amesema pamoja na waandaaji wa vipindi vya redio na runinga kuwapendelea wanamuziki wa bongo fleva lakini nyimbo zao hazidumu kwa muda hata wa miezi 3.
Wasanii wa bongo fleva wanapendelewa kwenye vituo vya habari ila muziki wa dance unapigwa kwa nusu saa tena mwishoni mwa wiki lakini nyimbo zetu zinadumu kuliko wao.
Msanii huyo amewataka waandaaji wa vipindi vya muziki nchini kuacha upendeleo na kuhakikisha wanapiga nyimbo kwa usawa katika vipindi vyao.
Previous
Next Post »