WATU 180 WAUWAWA NA KUNDI LA AL SHABABAAB. - Rhevan Media

WATU 180 WAUWAWA NA KUNDI LA AL SHABABAAB.



Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mahmoud amesema kuwa takriban wanajeshi 180 wa Kenya waliuawa katika uvamizi wa kambi yao huko El Ade na wapiganaji wa kundi la Alshabaab.
Wanajeshi hao walikumbwa na mauti wakitekeleza majukumu yao ya kulinda amani na kambi yao kuvamiwa na kulipuliwa huku baadhi wakibakia na majeraha na kurejeshwa jijini Nairobi kwa matibabu
Rais Hassan amenukuliwa akisema kwamba wanajeshi wa kigeni hufariki na huwa wahaendi katika mazishi lakini wanajeshi wa kenya kufariki 180 na zidi kwa siku moja ni jambo lililo washtua.
Ikumbukwe kuwa Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na Hassan Sheikh wa Somalia waliungana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika chuo cha mafunzo ya jeshi cha Moi huko Eldoret kuwakumbuka wanajeshi wa Kenya walioaga dunia huko El-Adde Somalia.
Chanzo BBC
Previous
Next Post »