MBUNGE NA MKUU WA WILAYA BAADA YA KUTUKANANA JUZI LEO WAPATANA. rhevanstudio 17:17:00 rhevanstudio Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa akifurahi na yule DC aliyetaka kumtwanga juzi...wapo Airport Iringa hapo wanamsubiri Waziri Mkuu leo. Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email