KATIBU MKUU WA WIZARA ABEBA MIZIGO. - Rhevan Media

KATIBU MKUU WA WIZARA ABEBA MIZIGO.



Katibu mkuu afya Dk Mpoki Ulisubisya, aongoza kusomba meza Muhimbili kupata wodi ya wazazi.Jengo hilo lilikuwa likitumika kama ofisi ya kitengo cha afya ya uzazi na mtoto.Agizo hilo lilitolewa na rais Magufuli juzi na kutekelezwa mara moja.
Previous
Next Post »