MCHEKESHAJI MASANJA AFUNGUA MGAHAWA ''MASANJA WALI NYAMA'' - Rhevan Media

MCHEKESHAJI MASANJA AFUNGUA MGAHAWA ''MASANJA WALI NYAMA''


Mchekeshaji wa kundi la Original Komedi Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja Mkandamizaji amefungua mgahawa siku ya jana maeneo ya Tabata Magengeni wenye jina Masanja wali nyama.Siku ya Jana ilikuwa ni offer bure baadhi ya wasanii walijitokeza kumpa sapport akiwepo Emmanuel Mbasha msanii wa nyimbo za dini..








Previous
Next Post »