
MATOKEO YA UCHAGUZI WA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA (MNEC) NYAMAGANA. 14 February 2016 Kura Zilizopigwa 101 Kura Zilizoharibika 0 Kura halali. 101 Matokeo 1.Dr. Sillinus Elias Nyanda kura 1 2.Jamal Abdul Babu. kura 79 3.Ndg Patrick N.Kambarage kura 9 4.Ndg Kelebe B.Lutell. kura 12 Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Ndg Miraji Mtaturu aliyekuwa msimamizi wa uchaguzi huo alimtangaza Ndg Jamal Abdul Babu kuwa Mnec wa Nyamagana. Kidumu chama cha Mapinduzi.
Sign up here with your email