BAKWATA WAAFIKI UCHAGUZI ZANZIBAR. - Rhevan Media

BAKWATA WAAFIKI UCHAGUZI ZANZIBAR.




Baraza la Waislamu Tanzania(BAKWATA), limeunga mkono hatua ya ZEC ya kutangaza uchaguzi wa marudio Zanzibar tarehe 20 Mwezi Machi.
BAKWATA imesema inaona ndio njia ya pekee ya kukiweka kisiwa cha Zanzibar kuwa sehemu ya amani na utulivu
Previous
Next Post »