MSANII WA FILAMU AWEKA PICHA YENYE UTATA. - Rhevan Media

MSANII WA FILAMU AWEKA PICHA YENYE UTATA.


Msanii wa bongo movie Aunty Ezekiel ameweka picha akiwa na vazi la harusi.Haijafahamika kama ni ndoa au mambo ya kisanaa.Kwa sasa ni mama watoto wa dancer wa msanii Diamond Platnum ajulikanae Moses Iyogo.
Previous
Next Post »