JIPU LA WAHAMIAJI HARAMU LATUMBULIWA. - Rhevan Media

JIPU LA WAHAMIAJI HARAMU LATUMBULIWA.



 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa, imewahukumu kifungo cha miaka mitano jela, dereva Hance Mwakyoma (28) na msaidizi wake, Alex Adam (32) kwa kosa la kusaidia kuwasafirisha raia wa kigeni walioingia nchini bila kibali.
 Dereva huyo aliyekuwa akiendesha gari aina ya Scania lililotumika kuwasafirisha wahamiaji haramu hao ambao ni raia wa Ethiopia, ameamriwa pia kulipa faini ya Sh1.5 milion
Previous
Next Post »