Waziri
wa Ajira na Kazi, amefuta leseni ya wakala wa ajira wa Kampuni ya SBC
Tanzania, ambao ndio watengenezaji na wasambazaji wa Pepsi Jijini
Mwanza, kwa sababu ya ukiukaji wa sheria ya ajira kazini.
-Pia ametoa siku 14 kwa kampuni hiyo kukamilisha vifaa vyote vinavyohitajika kwa wafanyakazi pamoja na kuwalipa stahiki zao
-Pia ametoa siku 14 kwa kampuni hiyo kukamilisha vifaa vyote vinavyohitajika kwa wafanyakazi pamoja na kuwalipa stahiki zao
Sign up here with your email