Akihojiwa na gazeti la Mwananchi Mh Tundu Lissu amesema, tunataka Rais
Magufuli atuambie, waliokaepa kodi bandarini ni kina nani na kwanini
hatuwaoni Mahakamani.
Hatutakubali atuambie tu ameongeza makusanyo ya kodi. Atuambie waliokwepa wako wapi maana kukwepa kodi ni kosa kubwa kisheria"alisema Lissu"
Hatutakubali atuambie tu ameongeza makusanyo ya kodi. Atuambie waliokwepa wako wapi maana kukwepa kodi ni kosa kubwa kisheria"alisema Lissu"
Sign up here with your email