RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR KUFUKUZWA CCM. - Rhevan Media

RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR KUFUKUZWA CCM.


Vijana wa UVCCM Zanzibar waitaka CCM imfukuze uanachama Rais Mstaafu wa Zanzibar Aman Karume, wadai ameungana na hoja za upinzani.

-Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis amesema asipofukuzwa umoja huo utatumia njia zingine ambazo hakuziweka wazi.
Previous
Next Post »