SHIRIKA LA AFYA DUNIANI KUTANGAZA EBOLA IMEKWISHA. - Rhevan Media

SHIRIKA LA AFYA DUNIANI KUTANGAZA EBOLA IMEKWISHA.

WHO Shirika la afya duniani baada ya kujiridhisha ugonjwa wa Ebola kutoweka wiki hii kutangaza rasmi kutoweka ugonjwa huo.Hii ni baada ya watu wapatao elfu kumi na moja kufa kwa ugonjwa huo.Zaidi ya siku 42 hajalipotiwa mgonjwa yeyote kupatikana na ugonjwa huo ulioishambulia zaidi nchi ya Liberia.
Previous
Next Post »