Mh Edward Ngoyai Lowasa,Rais mstaafu Mrisho Jakaya Kikwete na Rais John Pombe Magufuli wamekuwa kati ya viongozi wa kitaifa kwenda hospitali ya taifa ya Muhimbili kumjulia hali waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye.Aliye lazwa hospitalini hapo kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa wa moyo.