MSANII WA FILAMU MBIONI KUUTATUA MGOGORO WA ZANZIBAR. - Rhevan Media

MSANII WA FILAMU MBIONI KUUTATUA MGOGORO WA ZANZIBAR.

Msanii wa filamu nchini Tanzania maarufu Sintah amehitimu shahada ya udhamiri katika maswala ya kidplomasia, wadau wampongeza na kumtaka avalie njuga kuumaliza mgogoro wa Burundi na Zanzibar.
Previous
Next Post »