SAUDI ARABIA YAFUZU KWA KOMBE LA DUNIA - Rhevan Media

SAUDI ARABIA YAFUZU KWA KOMBE LA DUNIA


Saudi Arabia imefuzu kwa mara ya kwanza kucheza Kombe la Dunia tangu ilipofanya hivyo 2006 baada ya kuifunga Japan 1-0 mjini Jeddah.
Ushindi huo unaifanya Saudi kuungana Iran, Japan, Korea Kusini, Brazil, Mexico, Ubelgiji na wenyeji Russia kufuzu kwa fainali hizo zinazoshirikisha nchi 32.
Fainali za Kombe la Dunia mwakani zitafanyika kuanzia Juni 14 hadi Julai 15.

Previous
Next Post »