UTAFITI : RIPOTI YA TWAWEZA IMEONESHA KUWA KIWANGO CHA USALAMA KIMEIMARIKA KWA USILIMIA HIZI HAPA - Rhevan Media

UTAFITI : RIPOTI YA TWAWEZA IMEONESHA KUWA KIWANGO CHA USALAMA KIMEIMARIKA KWA USILIMIA HIZI HAPA

Tokeo la picha la TWAWEZAUTAFITI: Ripoti ya TWAWEZA imeonesha kuwa zaidi ya 53% ya Wananchi wanasema kiwango cha usalama kimeimarika kwa mwaka 1 uliopita.

Wananchi wana imani kubwa na Sungusungu katika masuala ya Ulinzi na Usalama kama wanavyoliamini Jeshi la Polisi.

Utafiti huo umeonesha kuwa Wananchi wanasema wizi ni tishio kubwa katika maeneo wanayoishi.
Previous
Next Post »