UTEUZI: Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imewateua 8 kuwa Wabunge wa Viti Maalumu kupitia CUF.Uteuzi huu umekuja baada ya Spika wa Bunge kuitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi juu ya kuwepo kwa nafasi waza nane (8) za Wabunge wa Viti Maalum kupitia CUF.
Yafuatayo ni majina ya Wateuliwa.
.
1- Ndugu Rukia Ahmed Kassim;
2- Ndugu Shamsia Aziz Mtamba;
3- Ndugu Kiza Hussein Mayeye;
4- Ndugu Zainab Mndolwa Amir;
5- Ndugu Hindu Hamis Mwenda;
6- Ndugu Sonia Juma Magogo;
7- Ndugu Alfredina Apolinary Kahigi; na
8- Ndugu Nuru Awadh Bafadhili,
Sign up here with your email
