KENYA: Mwanaume mmoja amejiua kwa kujinyonga baada ya Mke wake kuondoka nyumbani kwa madai kuwa anamahisiano na Mwanamke mwingine. Mwanaume huyo amabye ni mchimbaji wa madini alipigwa na butwaa baada ya kurejea nyumbani na kubaini mkewe ameondoka na Watoto wote.