Chama cha Walemavu(CHAWATA) chamuomba Rais Magufuli aagize biashara ya usafirishaji wa Abiria kwa Bajaji ifanywe na walemavu pekee.
Wameitaka Serikali itambue Bajaji kama chanzo cha mapato yao kwa kuwa ni shughuli wanayoweza kufanya kwa kutumia viungo vya miili yao vilivyobakia.
.

Sign up here with your email