MAPYAAA : MAREKANI IMESAINI MKATABA WA KUIUZIA QATAR NDEGE ZA KIVITA AINA YA F -15 KWA $12BILIONS..!! - Rhevan Media

MAPYAAA : MAREKANI IMESAINI MKATABA WA KUIUZIA QATAR NDEGE ZA KIVITA AINA YA F -15 KWA $12BILIONS..!!

Tokeo la picha la NDEGE ZA KIVITA F 15 ZA MAREKANI
Wengi Mnakumbuka Sekeseke la Juzi ambapo Marekani waliishutumu Qatar kusaidia kifedha Mitandao ya Ugaidi.

Balozi mbalimbali zilifungwa na Sasa Marekani na Qatar wamesaini deal ya Kuuziana ndege za Kivita aina ya F-15 zenye Thamani karibia Tsh. 25Trillions
Previous
Next Post »