MAMBO SITA YA KUZINGATIA MWISHO MWA WIKI - Rhevan Media

MAMBO SITA YA KUZINGATIA MWISHO MWA WIKI



Dar es Salaam.  Wakati tukielekea kuikamilisha wiki hii, Mtandao wa Wanasaikolojia Uingereza, (UK Psychologicalexperts) umetoa mawazo kadhaa ya kukujenga unapomaliza wiki.
* Jiamini
*Acha kutumia muda mwingi kufikiri badala ya kutenda
*Fanya kazi kwa bidii
*Epuka kuahirisha hairisha mambo
*Kuwa mnyenyekevu
* Kuwa rafiki mwema

Previous
Next Post »