WABUNGE WA CHADEMA " EALA " KUJULIKANA LEO - Rhevan Media

WABUNGE WA CHADEMA " EALA " KUJULIKANA LEO



Dar es Salaam. Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala) kwa upande wa Chadema watajulikana leo baada ya kufanyika uchaguzi.
Wagombea wa nafasi hiyo kwa Chadema ni Profesa Abdallah Safari, Salum Mwalimu, Ezekiel Wenje, Josephine Lemoyan, Lawrence Masha na Pamela Massay.
Wabunge waliochaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwa upande wa CCM ni Fancy Nkuhi, Happines Legiko, Maryam Ussi Yahya, Dk Abdullah Makame, Dk Ngawaru Maghembe na Alhaj Adam Kimbisa. Kwa upande wa CUF ni Habib Mnyaa.

Previous
Next Post »