Dar es Salaam. Rais John Magufuli amemteua, Profesa Egid Mubofu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi, John Kijazi inaeleza kuwa uteuzi wa Mubofu umeanza tangu Mei 2 mwaka huu.
Profesa Mubofu aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo amechukua nafasi ya Joseph Masikitiko ambaye uteuzi wake ulitenguliwa Julai mwaka jana.
Sign up here with your email