MEYA WA MOSHI BAADA YA KUZUIWA KUINGIA KIKAO CHA JPM AMEFUNGUKA HAYA MAZITO - Rhevan Media

MEYA WA MOSHI BAADA YA KUZUIWA KUINGIA KIKAO CHA JPM AMEFUNGUKA HAYA MAZITO


Meya wa Manispaa ya Moshi Raymond Mboya amesema kuwa haelewi lilikotoka agizo la kuzuiwa kwake kuingia kwenye kikao cha Rais Magufuli licha ya kuambiwa alihitajika kuhudhuria kikao hicho baada ya kualikwa na Mkurugenzi.

Meya Raymond Mboya na Mbunge wa Moshi Mjini Japhary Michael walizuiwa kuhudhuria kwenye kikao cha JPM na viongozi wa dini alichokifanya mjini Moshi wakati wa ziara ya siku 3 katika Mkoa wa Kilimanjaro
Previous
Next Post »