Kiongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru 2017 Amour Hamadi Amour amekataa kuzindua mradi wa Bwalo la chakula la shule ya msingi Lilondo iliyopo Halmashauri ya wilaya ya Madaba mkoani Ruvuma baada ya kuona taarifa za maradi huo zinakingana habari kamili hii hapa.
Sign up here with your email