LISSU - WATANZANIA MSAHAU BUNGE KUONYESHWA LIVE ' KWA SASA !! - Rhevan Media

LISSU - WATANZANIA MSAHAU BUNGE KUONYESHWA LIVE ' KWA SASA !!

Tokeo la picha la TUNDU LISSU
Mwanasheria wa CHADEMA, Rais wa Chama cha Wanasheria (TLS) na mbunge Tundu Lissu amesema kuwa Bunge Live tusahau kwa sasa mpaka CCM itoke madarakani! 

Katika mahojiano  Lissu ameeleza pia kuwa yeye kama Rais wa TLS anaona kuwa kuna umuhimu wa kuhakikisha kuwa kikatiba juhudi zinafanywa kupunguza madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na pia kuhakikisha viongozi wanafuata katiba na siyo kufikiri matamko yao ndiyo sheria.
Previous
Next Post »