EXCLUSIVE VIDEO: MUME MPYA WA FLORA AFUNGUKA - Rhevan Media

EXCLUSIVE VIDEO: MUME MPYA WA FLORA AFUNGUKA

Daud Kusekwa ndio jina la Mume mpya wa Mwimbaji wa nyimbo za Injili Madame Flora (zamani Flora Mbasha) ambapo ndoa yao wameifunga mwishoni mwa April 2017.

Baada ya Daud kuona mitandao inavyosema na watu wanavyokosoa muungano mpya wa wawili hao, amekaa kwenye AyoTV na millardayo.com na kuzungumza ya moyoni EXCLUSIVE, bonyeza play kumtazama hapa chini 
Previous
Next Post »