DK , SHEIN ATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU YA TELECOM NCHINI DJBOUTI - Rhevan Media

DK , SHEIN ATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU YA TELECOM NCHINI DJBOUTI

KUT1

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiuliza suala wakati alipotembelea kampuni ya Simu ya Telecom Nchini Djibouti akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]
KUT2
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa  Waziri wa Mawasiliano na huduma za Mitandao Bw.Abdi Youssoef wakati alipotembelea  katika Ofisi ya kampuni Telecom Nchini Djibouti   akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]
KUT3
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa ofisa wakampuni ya Simu ya Telecom Nchini Djibouti wakati alipotembelea  katika Ofisi ya kampuni hiyo akiwa katika ziara ya kiserikali kwa mualiko wa Rais wa nchi hiyo Mhe,Ismail Omar Guelleh[Picha na Ikulu.]
Previous
Next Post »