CCM WATIMUANA TENA ARUSHA - Rhevan Media

CCM WATIMUANA TENA ARUSHA

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Hamfrey
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Hamfrey Polepole  

Arusha.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewafukuza viongozi wake katika kata nne kwa tuhuma mbalimbali ikiwepo matumizi mabaya ya fedha na mali za chama hicho.
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Hamfrey Polepole ametangaza leo uamuzi huo na kuelezea CCM haitawavulia wanachama wake wabadhirifu
Viongozi waliofukuzwa na wa kata za Themi, Sombetini, Unga LTD na  Sekei.

Previous
Next Post »