SIMBA MWENYEJI WA AZAM FC KOMBE LA FA WAKATI YANGA ITAKUWA MGENI WA MBAO FC JIJINI MWANZA - Rhevan Media

SIMBA MWENYEJI WA AZAM FC KOMBE LA FA WAKATI YANGA ITAKUWA MGENI WA MBAO FC JIJINI MWANZA

Mtifuano wa Kombe la Shirikisho la Azam leo umefikia patamu baada timu zitakazomenyana katika nusu fainali kujulikana baada ya droo iliyofanyika ofisi za uzalishaji za Azam Media zilizopo Tabata jijini Dar.

Katika droo hiyo Simba itakuwa mwenyeji ambapo itapambana na Azam FC Aprili 29 mwaka huu jijini Dar ambapo  Aprili 30 Yanga itakwenda Mwanza kupambana na Mbao FC watakaouwa wenyeji wa mchezo huo.
1
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa, Idd Moshi Shaaban, akichanganya majina ya timu hizo kabla ya kuitoa moja baada ya nyingine.kulia ni mjumbe kutoka TFF Bw. Jemedari Said na kushoto lia niMeneja wa Kitengo cha Michezo cha Azam TV, Baruwan Muhuza
2
Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa, Idd Moshi Shaaban, akichanganya majina ya timu hizo kabla ya kuitoa moja baada ya nyingine kulia ni mjumbe kutoka TFF Bw. Jemedari Said na kushoto ni Meneja wa Kitengo cha Michezo cha Azam TV, Baruwan Muhuza
35
Meneja wa Kitengo cha Michezo cha Azam TV, Baruwan Muhuza akizungumza wakati wa Droo hiyo kushoto ni Iddi Moshi Mchezaji wa zamani.
6
Baadhi ya wawakilishi wa vilabu wakiwa katika droo hiyo
7
Wanahabari na wadau wakifutilia droo hiyo kwa makini.
8
Mtangazaji wa Azam TV Bw Patrick Nyenbela akiongoza kipindi wakati wa droo hiyo.
9
Mkurugenzi wa Fullshangweblog Bw. John Bukuku akiuliza swali mara baada ya kupangwa kwa timu katika zatakazokutana katika nusu fainali hiyo
Previous
Next Post »