Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa na Mhe, Airlangga Hartarto
miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia pamoja na Viongozi wa
wengine wa Nchi hiyo pia akiwepo na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo
na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed (kulia)alipowasili katika uwanja wa
Ndege wa Nchi Indonesia,Rais Shein anamuwakilisha Rais John Pombe
Magufuli katika Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya
Hindi IORA Nchini Indonesia, [Picha na Ikulu.] 05/3/2017.

Sign up here with your email