KITUO CHA MAFUTA TEGETA JIJINI DAR CHATEKETEA KWA MOTO - Rhevan Media

KITUO CHA MAFUTA TEGETA JIJINI DAR CHATEKETEA KWA MOTO


Kituo cha mafuta kilichopo eneo la Tegeta Azania jijini Dar as Salaam kineteketea kwa moto.Chanzo cha ajali hiyo ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kushika moto.


Advertisement
Previous
Next Post »