DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WANA CCM PEMBA - Rhevan Media

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA WANA CCM PEMBA

1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (katikati) akimkabidhi Mwakilishi wa Jimbo la Mkoani Pemba CCM pia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Mmanga Mjengo Mjawiri (kulia)  vifaa  vya Michezo kwa niaba ya Jimbo lake vitakavyotumika katika mashindano ya mpira wa miguu kwa majimbo 18 ya Pemba,chini ya ufadhili wa Mfanya bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi (kushoto) hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo.
2
Miongoni mwa Vijana wa CCM wa Majimbo 18 ya mikoa ya Pemba CCM wakiwa katika sherehe za kubabidhiwa vifaa vya Michezo vya Mpira wa Miguu vitakavyofanikisha mashindano ya Majimbo hayo,vilivyotolewa na Mfanya bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi  na kukabidhiwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (hayupo pichani) katika ukumbi wa Fidel Castro wilaya  ya Chake chake Pemba leo
3
Miongoni mwa Vijana wa CCM wa Majimbo 18 ya mikoa ya Pemba CCM wakiwa katika sherehe za kubabidhiwa vifaa vya Michezo vya Mpira wa Miguu vitakavyofanikisha mashindano ya Majimbo hayo,vilivyotolewa na Mfanya bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi  na kukabidhiwa na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (hayupo pichani) katika ukumbi wa Fidel Castro wilaya  ya Chake chake Pemba leo,
4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin (katikati) akimkabidhi Mwakilishi wa Jimbo la Ziwani Suleiman Makame Ali (kulia)  vifaa  vya Michezo kwa niaba ya Jimbo lake vitakavyotumika katika mashindano ya mpira wa miguu kwa majimbo 18 ya Pemba,chini ya ufadhili wa Mfanya bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi (kushoto) hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo,
5
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin  akizungumza na Viongozi wa CCM na Vijana UVCCM wa Majimbo 18 ya Mikoa ya Pemba katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo vilivyotolewa na   Mfanyabishara na Kada wa CCM,pia Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Unguja, Mohamed Raza Daramsi, hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo,
6
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin  akipiokea Kombe la Mashindano ya Mpira wa miguu katika Timu mbali mbali za majimbo 18 ya Mikoa ya Pemba,kutoka kwa Mwanamichezo, Mfanyabishara na Kada wa CCM,pia Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Unguja, Mohamed Raza Daramsi,(kushoto)  katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo vilivyotolewa na Raza katika   hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo,
[Picha na Ikulu.]
Previous
Next Post »