DC ARUSHA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA,WATENDAJI WA KATA NA WENYEVITI WA MITAA - Rhevan Media

DC ARUSHA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA,WATENDAJI WA KATA NA WENYEVITI WA MITAA



      Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro(Pili Kuhsoto) akifungua kikao kazi na Maafisa Watendaji wa Kata, Mitaa pamoja na Wenyeviti wa Mitaa.
      Wakuu wa Idara, maafisa watendaji wa Kata, Mitaa pamoja na wenyeviti wa Mitaa 154 ya Jiji la Arusha wakifuatilia kikao kazi kilichoitishwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha.
1   Afisa Mtendaji Kata ya Baraa Bi. Anna Lebisa akiwasilisha changamoto mbalimbali zilizoko katika kata yake.

Afisa Mtendaji Kata ya Ngarenaro Bw. Joshua Nasari (aliyesimama) akichangia katika Kikao Kazi kilichoitishwa na Mkuu wa Wilaya.

   Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Gabriel Daqarro (Pili kushoto) akitolea ufafanuzi wa  hoja mbalimbali zilizowasilishwa na wajumbe wa Kikao Kazi.


Previous
Next Post »