BALOZI MERO AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO - Rhevan Media

BALOZI MERO AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO



Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa, Mhe. Modest J. Mero akitoa maelezo mafupi kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres kabla ya kuwasilisha rasmi Hati za Utambulisho.
Balozi. Modest J. Mero akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres.
Previous
Next Post »