VIDEO : INASIKITISHA BABA AMGEUZA MWANAE MWENYE ULEMAVU KUWA MKE AANZA KUMTESA BAADA YA KUMTUMIA NA KUMCHOKA - Rhevan Media

VIDEO : INASIKITISHA BABA AMGEUZA MWANAE MWENYE ULEMAVU KUWA MKE AANZA KUMTESA BAADA YA KUMTUMIA NA KUMCHOKA

Habari ya simanzi na kusikitisha wilayani Chunya Mbeya, Baba amemgeuza bintie wa kumzaa mwenye ulemavu kuwa mke. Baada ya kumtumia kwa namna awezavyo, ameanza kumfanyia vitimbi ikiwa ni pamoja na kuanza kumnyanyasa kuashiria kuwa amemchoka.

VIDEO:

No comments:

Previous
Next Post »