RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA GHANA MH. NANA ADDO AKUFO MJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA - Rhevan Media

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA RAIS WA GHANA MH. NANA ADDO AKUFO MJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Ghana Mhe. Nana Addo Dankwa Akufo katika Uwanja wa Kimataifa wa Bole Mjini Addis Ababa Ethiopia muda mfupi kabla ya kuondoka nchini humo alikokuwa akihudhuri Mkutano wa 28 wa wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) uliomalizika jana.  Mhe. Rais Nana Addo ameahidi kuendeleza na kuimarisha zaidi ushirikiano na uhusiano kati ya nchi yake na Tanzania na amekubali mwaliko wa Mhe. Rais Magufuli wa kuitembelea Tanzania.HAN1
Previous
Next Post »