Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa zamani wa baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja leo katika semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake,[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
Baadhi ya washiriki wa Semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipoifungua semina hiyo leo iliyofanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja,[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
Viongozi wa serikali walioshiriki katika Semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipoifungua semina hiyo leo iliyofanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja,[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akifungua semina ya siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na Utekelezaji wake kwa Viongozi mbali mbali katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja leo,(kushoto) Makamo wa Rais Balozi Seif Ali Iddi na katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Kiongozi Dkt.Abduhamid yahya Mzee (kulia).[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Bibi Mayasa Mahfoudh Mwinyi alipokuwa akitoa Muhtasari wa Majukumu ya Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali katika Upatikanaji wa Takwimu na Utekelezaji wake katika semina ya viongozi iliyofanyika leo katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/02/2017.
Viongozi wa serikali walioshiriki katika Semina ya Siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na matumizi yake akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipoifungua semina hiyo leo iliyofanyika katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja,[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed alipokuwa akitoa mchango wake katika semina ya siku moja kuhusu Umuhimu wa Takwimu na Utekelezaji wake kwa Viongozi mbali mbali wa Serikali iliyofanyika leo katika Ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Mnazi Mmoja,[Picha na Ikulu.] 01 /02/2017.
Sign up here with your email