ASKARI 9 WATAJWA ONGEZEKO LA DAWA ZA KULEVYA DSM - Rhevan Media

ASKARI 9 WATAJWA ONGEZEKO LA DAWA ZA KULEVYA DSM


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataja askari 9 wanaotuhumiwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya katika mkoa huo.

Paul Makonda - Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Makonda ametoa agizo hilo leo jijini Dar es Salaam ambapo amezitaka mamlaka za kijeshi kuwaweka chini ya ulinzi ili waweze kutoa taarifa kwanini dawa za kulevya bado zinaendelea kuwepo.
Amesema kuwa kuna maeneo ambayo yamepewa vibali vya kufanya biashara lakini wanatumia maeneo hayo kinyume na masharti ya biashara kwa kuuza madawa ya kulevya ambapo amewataka wamiliki wake kufika kituo kikuu cha polisi kesho saa tano na wasipofanya hivyo atawatafuta.

Previous
Next Post »