Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngombe wa kisasa wakati alipotembelea shamba la ng'ombe wa maziwa la MILKCOM TANZANIA LIMITED lililopo Kigamboni jijini Dar es salaam akiwa katika ziara ya wilaya ya Kigamboni leo Januari 4, 2017.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akieleza jambo wakati alipotembelea shamba la ng'ombe wa maziwa la MILKCOM TANZANIA LIMITED lililopo Kigamboni jijini Dar es salaam akiwa katika ziara ya wilaya ya Kigamboni leo Januari 4, 2017.
Wananchi wa eneo la Kisarawe Two wilayani Kigamboni wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao baada ya kukagua wodi ya wazazi iliyojengwa na kampuni ya mafuta ya OILCOM kijijini hapo. Waziri Mkuu alikuwa katika ziara ya wilaya hiyo Januari 4, 2017.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akitazama kitanda wakati alipotembelea wodi ya wazazi iliyojengwa na kampuni ya mafuta ya OILCOM katika ENEO la Kisarawe Two wilayani Kigamboni, Januari 4, 2017. Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Mhe. Hashim Mgandilwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Sign up here with your email