WANASAYANSI WAKONGWE ZAIDI DUNIANI KUTAFUTA TIBA YA MAGONJWA MAKUBWA NA TISHIO - Rhevan Media

WANASAYANSI WAKONGWE ZAIDI DUNIANI KUTAFUTA TIBA YA MAGONJWA MAKUBWA NA TISHIO

Wanasayansi wanasema mafanikio yatakayopatikana yatawanufaisha zaidi watu maskini
Image captionWanasayansi wanasema mafanikio yatakayopatikana yatawanufaisha zaidi watu maskini
Mpango mpya wa kutafuta tiba za Magonjwa matatu yanayodhaniwa na wanasayansi kuweza kuwa tishio la afya Duniani unatarajiwa kuanzishwa.
Muungano wa makundi yanayotoa misada ya kiafya pamoja na asasi za kiserikali zimedhamiria kuchangia dola milioni mia tano zitakazotumika katika tafiti zitakazofanywa ili kutatua matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa watu wa huko Mashariki ya kati, homa ya Lassa na Virus vya Nipah.
Mpango huo utakaofunguliwa rasmi mwaka huu katika mkutano wa Davos huko Switzerland Unafuatiwa na madhara makubwa yaliyotokana na magonjwa ya kuambukiza kama vile Ebola na Zika kwa miaka ya hivi karibuni.
Malengo makuu katika mkutano huo ni pamoja na kutafuta tiba za magonjwa yaliyotajwa ndani ya miaka mitano
Previous
Next Post »