VIDEO:FUNDISHO KWA WANAOPENDA KUANZISHA MAHUSIANO MTANDAONI - Rhevan Media

VIDEO:FUNDISHO KWA WANAOPENDA KUANZISHA MAHUSIANO MTANDAONI

Ni jambo la kusisimua kutokana na huruka za vijana kwenye mitandao ya kijamii, hii ni mara baada ya kuona matumizi mabaya ya mitandao kama Facebook,Twitter, Instagram vikiongezeka.Vijana wengi  wanashindwa kutumia mitandao ya kijamii  kwa ajili ya masilahi yao badala yake wamekuwa wakitumia mitandao hiyo, kutafuta wapenzi,utapeli, umbeya, kuanika nyeti zao yaani kuweka picha chafu na mambo mengine kinyume na maadili.
Katika video hii Kijana Moses alipata urafiki na msichana ambaye anaitwa “Zaydar” mtandaoni, moses alivutiwa zaidi baada ya kuona picha za mrembo Zaydar kwenye Instagram na ndipo alizidi kukoleza urafiki, kuomba namba na kumtaka awe mpenzi wake, Zaydar hakukataa kwani na yeye  alikuwa anatafuta mwanaume wa kumchuna kisawaswa.
Picha alizo kuwa akipost ‘Zaydar’ kwenye mitandao yake ya kijamii hazikuwa zake, alikuwa anaweka picha za warembo wengine ambao ni wazuri zaidi. Hivyo huruka ya Moses alijua kuwa msichana anaye wasiliana naye ndiye yule kwenye picha kumbe sio. Timbwili zito ni badaa ya Moses na Zaydar kupanga (apointment) ya kuonana ‘live’ Dar es salaam – Buguruni – Sokoni … angalia video hapa chini ili kujifunza na kuelimika zaidi.tandaoni kwa picha zisizo zake aibishwa
Tazama hapa kuona tukio hilo ambalo ni fundisho kwa vijana na jamii nzima hasa wanawake na wanaume

Previous
Next Post »