VIDEO : WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA CHAI LUPEMBE - Rhevan Media

VIDEO : WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA CHAI LUPEMBE


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ametembelea  kiwanda cha chai cha Lupembe ili kukikagua ambapo amezungumza na wafanyakazi kuhusu azma ya serkali katika kufufua na kujenga viwanda hapa nchini.  Waziri mkuu  yupo ziarani   mkoa wa Njombe.

==> Tazama video hapo chini kujua alichokiongea
 
Advertisement
==
Previous
Next Post »